Ushaiona video hii ya pacha wa Sauti Soul ‘H_art The Band’

Video ya Nikikutazama iliyoimbwa na H_art the Band

Baada ya kubamba na Ngoma ya Uliza Kiatu walioitoa mwaka jana, sasa bendi ya muziki kutoka Kenya ambayo unaweza kuiita pacha wa Sauti Soul iitwayo H_art The Band imetoa ngoma nyingine.

10702219_467380136737866_5949051621481847744_n

H_art the Band wakiwa katika picha ya pamoja.

Ngoma hiyo imepikwa na Kevin Bosco Jr na ukiitazama ipo katika staili f’lan inayokufanya usiichoke kuitazama.

Stori: Andrew Carlos/GPL


Loading...

Toa comment