The House of Favourite Newspapers
gunners X

Ushauri wa BELLA kwa DIAMOND Kuhusu Wasafi Festival – Video

Msanii nguli wa muziki wa dansi nchini, Christian Bella, amemshauri mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, na menejiment yake kiujumla kubadilisha orodha ya wasanii wanaopafomu kwenye tamasha lao la Wasafi Festival linaloendelea kwenye mikoa mbalimbali nchini.

 

Bella amempongeza Diamond kwa kuandaa tamasha hilo na matamasha mengine yanayofanyika ambayo kwa kiasi kikubwa yanasaidia kuinua muziki wa Bongo Fleva na wasanii kwa ujumla.

NINI AMEKISEMA? MSIKIE BELLA HAPA

Comments are closed.