The House of Favourite Newspapers

USHUHUDA MZITO: Mbunge wa Marekani Aliyeambatana na Watoto wa Lucky Vicent

0

Kutokea katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro ambapo siku ya ijumaa ya tar 18 mwezi Augst majira ya saa 3 asubuhi waliwasili watoto watatu, Wilson, Sadia pamoja na Doreen ambao walinusurika katika ajali ya gari miezi mitatu ilyopita walipokuwa wakienda Karatu katika ziara ya kimasomo.

Mbunge wa Marekani Steve King ambaye amehusika kwa kiasi kikubwa kusaidia kufanikiwa kwa matibabu ya watoto hao ametoa ushuhuda mzito na kuelezea vile walivyojitahidi kuhakikisha wanaokoa roho za watoto hao.

SHUHUDIA VIDEO AKIZUNGUMZA

Leave A Reply