The House of Favourite Newspapers

Wimbo wa Bella umevuja!

0

OSTAZ JUMA/BELLAGlobal Publishers imeunasa wimbo uliovuja wa Christian Bella anaodaiwa kumtungia Ostaz Juma ambao katika hali ya kushangaza haujaachiwa rasmi hewani lakini umeenea mitandaoni, hasa kwenye magroup mbalimbali ya WhatsApp.

Imebainika pia kuwa Bella alitunga wimbo huo unaokwenda kwa jina la Ubinadamu kwa ajili ya Ostaz Juma na familia yake.

Ostaz Juma alipoulizwa kama anautambua wimbo huo alisema anaufahamu na kwamba hata yeye ameshangaa kuusikia mitandaoni kwani ulikuwa bado haujaachiwa rasmi hewani kwa ajili ya wadau. Bella hakuweza kupatikana kulizungumzia hilo.

Sikiliza Ngoma yenyewe hapa:

Leave A Reply