The House of Favourite Newspapers

USIKOSE KIPINDI KIPYA, ONLINE TUITION GLOBAL TV, JUMANNE SAA 8 MCHANA

Global TV Online, kituo chako bora cha runinga ya mtandaoni, kinazidi kukudondoshea vitu exclusive ambavyo huwezi kuvipata sehemu nyingine yoyote na sasa, tunatambulisha kipindi kipya kabisa, Online Tuition ambacho kitakuwa kinakuletea masomo mbalimbali ya kisasa.

Kwa kuanzia, Ticha Kim anakudondoshea nondo za Physics kwa kidato cha tano. Usikose kufuatilia, saa nane mchana kupitia Global TV Online.

 

Comments are closed.