The House of Favourite Newspapers

Usikose Kutazama Jumba la Dhahabu… Itaendelea leo saa 12:30 Jioni

0

Unaikumbuka Tamthiliya ya Jumba la Dhahabu? Usikose kuitazama upya kupitia Global TV Online ambapo kuanzia leo na kila siku ya Jumamosi na Jumapili, Kuanzia saa 12:30 jioni.

Watazame Jini Kabula, Kojack, Mamtei, Bi Moza, Nivard, Kishoka na wengine kibao! Kumbuka ni kila JUMAMOSI na JUMAPILI kuanzia saa 12:30 jioni. Ili kutazama, susbcribe kwenye akaunti yetu ya YouTube Bonyeza hapa

Leave A Reply