The House of Favourite Newspapers

GlobalTVOnline: JUMBA LA DHAHABU – Sehemu ya 19

0


Unaikumbuka Tamthiliya ya Jumba la Dhahabu? Usikose kuitazama upya kupitia Global TV Online ambapo kuanzia leo na kila siku ya Jumamosi na Jumapili, Kuanzia saa 11:30 jioni.

GLOBAL TV Online inakuletea mfululizo wa Tamthilia maarufu. Naamini uliiona lakini haikua yote au ulisikia ubora wa JUMBA LA DHAHABU lakini haukubahatika kuiona, hii ni tamthilia bomba sana isiyokwisha hamu. Mwaka 2007 -2008 ilitesa sana katika Televisheni ya Taifa ya TBC1.

Huu ni wakati wako sasa wa kufuatilia JUMBA LA DHAHABU yenye kisa kizito cha jini KABULA aliyeibuka na kuchanganya akili za wanadamu. Utaifuatilia kwa muda wako kupitia simu yako ya mkononi, kila siku ya JUMAMOSI NA JUMAPILI saa 11:30 hapa hapa GLOBAL TV Online.

WAHUSIKA WAKUU NI: Mzee Chilo, Joan Chilo, Jini Kabula, Rado, Angel John Komba ‘Winter’, Cecilia Sengerema ‘Mamtei’, Bajomba NA Tuesday (Mr. Chuz).

Script: Tuesday Kihangala, Story by: Tuesday Kihangala, Producer: Tuesday Kihangala, Executive Producer: Tuesday Film

Production, Director: Tuesday Kihangala, Sound: Omary Idd, Cameraman: Ramadhani Juma/Mathias Chalange/ Ibrahim Kitimbu

JUMBA LA DHAHABU – Sehemu ya 1

JUMBA LA DHAHABU – Sehemu ya 2

JUMBA LA DHAHABU – Sehemu ya 3&4

JUMBA LA DHAHABU – Sehemu ya 5

JUMBA LA DHAHABU – Sehemu ya 6

 

Itaendelea leo si ya kukosa saa 12.30 Jioni

SUBSCRIBE NOW: ==> www.youtube.com/user/uwazi1

 

Leave A Reply