The House of Favourite Newspapers

VIDEO: MSANII WA BONGO MUVI, ABAKWA DAR, AUZWA KINGONO NCHINI INDIA

0

 

Msanii wa bongo Movie anayefahamika kwa jina la Suzan Michael ‘Prettykind’.

Kufuatia madai hayo, GLOBAL TV ONLINE ilimsaka msanii huyo ambapo alipopatikana alifunguka mazito yaliyomkuta maishani mwake ikiwa ni pamoja na kupelekwa kuuzwa India bila ridhaa yake. aeleza maisha yake kwa kifupi: “Nakumbuka baada ya kumaliza darasa la saba Shule ya Msingi kule Magu, Mwanza nilijikuta kwenye maisha magumu sana, nikaamua kutoka Magu mpaka Mwanza Mjini kwa ajili ya kusaka maisha ambapo niliuza maji stendi na kufanya kazi za ndani…..

Msanii wa Bongo Muvi Auzwa Kingono Nchini India

Leave A Reply