#GlobaltvOnline: Usikose Kutazama Mkasa wa Baba Aliyedakwa Akidaiwa Kufosi Penzi la Mwanaye Saa 10:00 Jioni
SUBSCRIBE NOW: https://www.youtube.com/user/uwazi1
Ni baba mwenye watoto kadhaa wa kike, lakini amemtamani kimapenzi mmoja wapo, akamshawishi kwa kila mbinu, lakini binti hakuelewa somo.
Kuona baba yake anazidi tu, akaamua kuwaambia shangazi yake yaani dada wa baba yake na pia mama yake mzazi, ambao hawakuamini masikio yao.
Baba alipoulizwa, akakana, akidai huyo binti yake anamsingizia. Lakini binti akasisitiza kuwa ni kweli, akawaambia wasikilize mazungumzo yake na baba yake kwenye simu, ndipo walipoamini...Pata mkasa kamili kupitia Global Tv Online leo saa 10: 00 Jioni.