SpotiHausi LIVE: Selemani Matora Alivyoikazia Simba SC
LEO katika kipindi cha SpotiHausi kutakuwa na mahojino na Kocha wa timu ya Lipuli, Selemani Matora kupitia Global TV Online. #SpotiHausi ni kipindi cha #michezo kinacholetwa kwako na #GlobalTVOnline kila #Alhamisi saa 10:00 jioni.
Matola atafunguka mengi kikubwa kabisa ni kuhsu mbinu zake mpya za kiufundi alizozitumia kuikazia Simba SC kwenye mchezo wa wikiendi iliyopita ambapo walitoa sare.
Ni hapahapa #GlobalTVOnline Fanya kuingia hapa www.youtube.com/user/uwazi1