Usikose Kutazama SpotiHausi Leo Alhamisi, Saa 10:00 Jioni -Global TV Online - Global Publishers


Imewekwa na on April 20th, 2017 , 11:10:07am

Usikose Kutazama SpotiHausi Leo Alhamisi, Saa 10:00 Jioni -Global TV Online

#SpotiHausi ni kipindi cha #michezo kinacholetwa kwako na #GlobalTVOnline kila #Alhamisi saa 10:00 jioni.

 • Wachambuzi wa michezo Saleh Jembe, Wilbert Molandi, Philip Nkini watakupa madini yote kuntu ya ki-sport mwanzo mwisho.
 • 1. Pointi 3 za Simba, Rufaa ya Kagera Sugar na kadi za Fakhi.
  2. Mechi ya Yanga vs Mc Alger
  3. Ligi Kuu Bara
  4. Champions League (Kipigo cha Real Madrid kwa Bayern, kipigo cha FC Barcelona kutoka kwa Juventus, kuondolewa kwa Leicester City Football Club na Monaco.
  5. EPL
  Usikose SAA 10:00
  Ni hapa hapa #GlobalTVOnline Fanya kuingia hapa www.youtube.com/user/uwazi1
  @salehjembe
  @wilbert molandi
  @philipnkini

Usikose leo Aprili 20 SUBSRIBE #YouTube #GlobalTVOnline

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana

Stori zinazo husiana na ulizosoma