#SpotiHausi ni kipindi cha #Michezo kinacholetwa kwako na #GlobalTVOnline kila #Alhamisi saa 10:00 jioni.
Mwandishi mahiri wa Gazeti la Championi, Saleh Ally ambaye pia ni Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Global Publishers, hivi karibuni alifunga safari mpaka nchini Uingereza na kuzungukia sehemu mbalimbali muhimu katika soka, pamoja na kujionea jinsi Ligi ya Uingereza, Premier inavyoendeshwa pamoja na maandalizi ya klabu zinazoshiriki. Amefanya mahojiani na wachezaji wa zamani wa England. Msikilize Live akisimulia safari hiyo ndani ya Spoti Hausi.
- Ni hapa hapa #GlobalTVOnline Fanya kuingia hapa www.youtube.com/user/uwazi1
@salehjembe
@wilbertmolandi
@phillipnkini
# SUBSRIBE #YouTube #GlobalTVOnline