The House of Favourite Newspapers

Global Tv Online: Usikose Kutazama Tamthilia ya Shevola Leo Saa 12:00 Jioni

0

GLOBAL TV Online inakuletea mfululizo wa Tamthilia maarufu. Naamini uliiona lakini haikua yote au ulisikia ubora wa TAMTHILIA TA SHEVOLA au pengine haukubahatika kabisa kuitazama, hii ni tamthilia bomba sana isiyokwisha utamu. Itakuwa Mubashara leo Jumamosi saa 12: 00 Jioni

Filamu hii ilitesa sana kupitia Star TV, huu ni wakati wako sasa wa kufuatilia SHEVOLA yenye kisa kizito cha binti aliyeibuka na kuwachanganya akili walinzi wa Mfalme.

SUBSCRIBE NOW: https://www.youtube.com/user/uwazi1

WAHUSIKA WAKUU NI: Aisha Katabazi, Ahmadhaman Masusuli, Juma Masanja, Moses William, Sala Kalisa, Sebastian Joseph na Titus Joseph. Producer: Abbas Saad Kibiki, Executive Producer: Kibiki Entertainment, Director: Abbas Saad Kibiki, Editor: Marcel Asimwe, Cameraman: Hamis Mwema.

Leave A Reply