Usiku wa ‘900 Itapendeza’ Waiteka Dar Live
Usiku wa ‘900 Itapendeza’ uliofanyika usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Dar Live, uliohudhuriwa na Dkt. Louis Shika kwa ajili ya kuongea na wananchi kuhusu utajiri wake na mchakato wa dhamira yake ya kununua nyumba za Lugumi, palikuwa pia na burudani kutoka kwa Ebitoke, Jahazi Modern Taarab, African Stars ‘Twanga Pepeta’ na msanii wa kizazi kipya Linex na wengine kibao.
Stori: Issa Mnally | Global Publishers
Comments are closed.