USM Alger Wabeba Kombe la CAF Super Cup 2023, Yaifunga Al Ahly
Mabingwa watetezi wa kombe la Shirikisho Afrika, USM Alger wametwaa kombe la CAF Super Cup 2023 kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Mabingwa watetezi wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Al Ahly katika dimba King Fahd, Riyadh Saudi Arabia.
FT: Al Ahly 🇪🇬 0-1 🇩🇿 USM Alger
⚽ Zineddine Belaid (P) 42′
USM Alger wametwaa kombe CAF Super Cup kwa mara ya kwanza kihistoria ikiwa ni kombe lao la pili kwenye michuano ya Afrika.