Utafuirahia Kumuona Yemi Alade Kwenye ‘Oga’ Video Mpya
Mwanadada Yemi Eberechi Alade maarufu kama Yemi Alade amefungua mwaka kwa kuileta video mpya ya ‘Oga’ ambayo audio aliiachia mwaka jana 2018.
Video imeongozwa na Clarence Peters, kwa upande wa audio imetengenezwa na Egar Boi.
Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa, ingia Global App na kama huja-install, tumekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇
Android ===>GooglePlay
iOS ===>AppStore
Itazame hapa.
Comments are closed.