Utafuirahia Kumuona Yemi Alade Kwenye ‘Oga’ Video Mpya

 

Mwanadada Yemi Eberechi Alade maarufu kama Yemi Alade amefungua mwaka kwa kuileta video mpya ya ‘Oga’ ambayo audio aliiachia mwaka jana 2018.

 

Video imeongozwa na Clarence Peters, kwa upande wa audio imetengenezwa na Egar Boi.

 

 

Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa,  ingia Global App na kama huja-install, tumekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇

Android ===>GooglePlay

iOS ===>AppStore

Itazame hapa.

 

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club


Loading...

Toa comment