Utakubali Alichokifanya Lil Wayne Kwenye ‘Don’t Cry’ Video Mpya

 

Rapa Lil Wayne ameileta video ya wimbo wake mpya Don’t Cry akiwa na marehemu XXXTentacion.

 

Wimbo huo unapatikana kwenye album ya Lil Wayne, ‘Carter V’

 

Video imeongozwa na Jay na Georgio Rodriguez

 

 

Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa,  ingia Global App na kama huja-install, tumekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇

Android ===>GooglePlay

iOS ===>AppStore

Itazame hapa.

 

 

 

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club


Loading...

Toa comment