The House of Favourite Newspapers

Utambulisho wa Shaban Chilunda CD Tenerife nchini Hispania

ALIYEKUWA Mshambuliaji wa Azam FC, Shaaban Idd Chilunda,  tayari amekamilisha usajili wa kujiunga na Klabu yake mpya ya CD Tenerife inayoshiriki Ligi daraja la kwanza nchini Hispania.

Mshambuliaji Shaaban Idd Chilunda akitambulishwa kuwa mchezaji wa CD Tenerife inayoshiriki Ligi daraja la kwanza nchini Hispania.
Shaaban Idd Chilunda akiongea na wanahabari.

Comments are closed.