BREAKING: MAGUFULI ‘AMTUMBUA’ RC GAMBO, DC WAKE na MKURUGENZI

Rais Magufuli, leo ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo na nafasi yake imechukuliwa na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Monduli, Idd Kimanta

Pia, ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Gabriel Daqarro na nafasi yake imechukuliwa na Kenan Kihongosi aliyekuwa Mwenyekiti wa UVCCM Iringa

Aidha, ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Dkt. Maulid Madeni na kumteua Dkt. John Pima kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri.


Toa comment