The House of Favourite Newspapers

Uwoya Aluta Continua, Apanga Kwenda Mexico Kufuta Mchungu ya Connection

0
Irene Uwoya

IRENE UWOYA; ni supastaa wa Bongo Movies ambaye amekuwa mwathirika mwingine wa kusambaa kwa video zake za ngono (connections).

 

Hata hivyo, licha ya kudhalilishwa na kugeuka mada kuu hadi kwa watu wenye heshima zao, Uwoya anasema hajali wala nini na hajibu chochote badala yake bata ni aluta continua; yaani linaendelea kama kawaida.

Irene Uwoya amesema anajiandaa kwenda nchini Mexico kula bata

Taarifa ikufikie tu kwamba, sasa Uwoya awamu hii ametangaza kwenda nchini Mexico kuendeleza bata lake la kufa mtu.

 

Uwoya anasema kuwa pamoja na yote, lakini kula ni muhimu na anaamini kwamba yeye ni wa juu.

 

Hata hivyo, watu wengi wamemtia moyo kwa majanga yaliyomkuta, lakini iwe somo kwa wanawake wengine.

Cc; @sifaelpaul

Leave A Reply