The House of Favourite Newspapers

Uzinduzi wa Camon CX Kutoka Tecno Kutikisa Soko la Simu Afrika

Nairobi, Kenya, March, 2017 – Simu bora  yazinduliwa, TECNO Mobile  imezindua simu yake mpya kabisa itakayotikisa soko la  simu Afrika, katika  uzinduzi uliofannyika mji mkuu wa Kenya Nairobi.

Simu hii imetengenezwa vizuri kwaajili ya soko  la watu wanaopenda kwenda na wakati hasa vijana wanaopenda picha za  camera ya mbele maarufu kama “Selfie”

Simu ya Camon CX itakua sokoni kwa mara ya kwanza kwa nchi za Afrika, Mashariki ya kati pamoja amerika ya kusini, simu hii itawafanya watumiaji  kupata picha  zenye mng’ao mzuri ,Usafi  na picha  za haraka Zaidi kuwahi kutokea.

Tokea simu za Camon zimeanza kutoka na kutambulishwa  sokoni  2015 zaidi ya watumiaji  million 5 wamenunua simu hizi duniani na zimekua zikisaidia watumiaji kupata picha za nzuri za camera ya mbele na bora za kwa upande wa camera ya nyuma. .

Kujihakikisha nafasi yao kma kampuni  inayoongoza  kwa simu zenye kutimiza mahitaji ya watumiaji katika masoko ya nchi kama Nigeria,Tanzania, Misri, Kenya na Cameroon.  Tecno inatumia teknolojia mpya katika  kamera ya camon CX.  Simu hii inatumia  sense iliyoundwa na mega pixel 16 mbele na mega piexel 16 nyuma  ikichanganywa na teknlojia mpya ya “4 in 1”

Kila pixel  sense zina  uwezo wa kuhisi mwanga na kupiga picha zenye kuweza kufanya ung’ao mkali wa asilimia 30 inakkua usiku au hakuna mwanga wa kutoka eneo husika.

Simu hii pia ina flashi zilizotengenezwa na ringi maalumu  kuweza kusaidia mwanga kutoka  vizuri, kuweza  kuchaji kwa haraka  huku ikiwa na screen ya ukubwa wa 5.5 inchi (FHD).

Kampuni ya TECNO Mobile ni sehemu ya kampuni mama ya Trannssion Holdings ambayo ina asilimia Zaidi ya 25 za shea katika nchi za kusini mwa sahara tangu mwaka 2014. Mauzo katika nchi hizi yamefikia  Zaidi ya million 25 kwa simu mpka 2015,  kwa dunia simu zilizouzwa ni karibu  milioni 60.

Akiongea katika uzinduzi huo wa  camon cx mkurugenzi mkuu wa Tecno Mobile bwana, Stephen Ha, alisema:

“Tuna furaha sana kuizindua  simu hii ya camon cx  ambayo ni simu mpya Zaidi kutoka kwetu kwa muda huu. Umaarfu wa selfie umekua mkubwa sana kwa siku za karibuni katika simu za smartphone. Unbora wa picha ni muhimu Zaidi ili wayumiaji waweze kuridhika na matokeo tena sio tu kwa watuamiaji bali pia kuongezeka kwa idadi ya wapenda picha pia.”

“Tumefanya maamuzi mazuri ya kutumia teknolojia mpya ili tuwape wateja wetu uthamani na ubora mkubwa Zaidi katika matumizi ya simu, na hiki ndio kipaumbelle chetu TECNO Mobile.” Alimaliza.

 

 

Spec sheet:

 

SPEC Camon CX
Basic Size Design Size  152.8*75.8*5.6mm (visual)
Thickest Size 152.8*75.8*7.65mm
Weight 155g
Color Champagne gold/Sky gray/Elegant Blue/Rose Gold
CPU MT6750T  8 core
GPU ARM Mali-T860 MP2 650MHz
processor type 8x Cortex-A53, up to 1.5GHz
Frequency Range 1.5GHz
Camera Sensor IMX298
Back Camera 16M AF
Aperture f/2.0
Optic angle 77degree
Lens type CMOS
Flash type Four Flash/Circle Flashlight
Front camera 16.0M FF
Optic angle 78.4degree
Screen Size 5.5inch
Material TFT
PPI 404
Image resolution FHD
Network SIM card Dual SIM(micro+nano)+ T Card(support to 128GB)
Main Cellular GSM/WCDMA/FDD
Data service GPRS/EDGE/WCDMA/LTE
Frequency band GSM:850\900\1800\1900
WCDMA:900\2100
FDD:Band 3\7\20\28A\40
GPS support
Blue tooth support  BT 4.0
WIFI support
Battery Battery Storage 3200mAh   polymer lithium battery
SPEC Camon CX
Music format mp3
Video format mp4
Picture format jpg png bmp gif
Video format 3gp mp4
Memory Storage 2GB
EMMC 16GB
Sensor Gravity sensor support
Distancce sensor support
Electronic compass support
Gyroscope software support
Mic support
PIN Earphone Jack 3.5mm headphone jack
Charge jack support Micro 5pin  USB
OTG function support
Accessory Charging plug 5V2A
USB link support

Comments are closed.