The House of Favourite Newspapers

Uzo alamba tuzo kwa mara ya 2

0

uzo aduba emmy awards 2015 speech Muigizaji ambaye ni mzaliwa kutoka Nollywood, mkazi wa Hollywood, Uzo Aduba akionesha tuzo aliyoshinda.
uzzo

MUIGIZAJI mwenye vituko ambaye ni mzaliwa kutoka Nollywood na mkazi wa Hollywood, Uzo Aduba ameshinda kwa mara ya pili Tuzo za Emmy.

Staa huyo alishinda tuzo hiyo kupitia mchezo wa kuigiza ujulikanao kama Orange is the New Black katika kipingele cha Best Supporting Actress.

Sherehe za utoaji wa tuzo hizo zilifanyika hivi karibuni, Los Angeles, Marekani.

Mwaka jana pia staa huyo alichukuwa tuzo hizo za Emmy.

Leave A Reply