The House of Favourite Newspapers

V- Money agawa utamu kwa sharobaro

0

Vanessa-Mdee-1
Boniface Ngumije

Mwanamuziki Vanessa Mdee ‘V- Money’ hivi karibuni aliwaacha hoi mashabiki wake baada ya kumpa malovee kijana sharobaro aliyepanda stejini kudansi naye wimbo wake wa No Body But Me.

Tukio hilo lililowaacha midomo wazi watu lilichukua nafasi juzikati ndani ya Uwanja wa Leaders Club jijini Dar kulikokuwa na Tamasha la Kill Festival.

Awali, msanii huyo alianza kuimba kwa madoido huku akipandisha mzuka watu waliokuwa eneo hilo lakini ghafla aliomba mtu wa kucheza naye na alipopanda kijana huyo jukwaani alimuonesha malovee ikiwa ni pamoja na kumkumbatia, kumbusu  na kumuacha amiliki mwili wake kwa muda.

Leave A Reply