VIDEO | Vanessa Mdee Ft Reekado Banks – Bambino (Official Video)

Vanessa Mdee anakukaribisha kuitazama video yake mpya, ‘Bambino’ aliyomshirikisha Reekado Banks toka Nigeria.

 

Wimbo huu unapatikana kwenye Album ya Money Mondays ambayo ilitoka mapema mwaka huu.

 

Video imefanyiwa Lagos Nigeria na imeongozwa na Director Q

 

 

Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa ingia Global App na kama huja install, nimekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇

Android ===>GooglePlay

iOS ===>AppStore

Itazame hapa.

 

Toa comment