The House of Favourite Newspapers

Victory Campus Night 2019 Kutikisa Dar


TAMASHA la Kimataifa Victory Campus Night 2019 kufanyika Dar, Ijumaa ijayo, Mei 17. Ni tamasha kubwa na la aina yake kwa wanafunzi wote wa vyuo ndani na nje ya nchi.  Kutakuwa na maombi, kusifu, nasaha kutoka kwa wahamasishaji maarufu ndani na nje ya Tanzania. Usipange kukosa!

Comments are closed.