40 ya Nillan: Wolper Achafua Hali ya Hewa, Atoa Povu Hadharani Mbele ya Wageni - Global Publishers


Imewekwa na on February 12th, 2017 , 01:08:19am

40 ya Nillan: Wolper Achafua Hali ya Hewa, Atoa Povu Hadharani Mbele ya Wageni

WAKATI sherehe ya kutimiza 40 kwa mtoto wa Diamond na Zari, Nillan ikiendelea, staa wa Bongo Movies, Jackline Wolper Massawe amekerwa na wanaomsema vibaya Zari na kuamhua kuwafungukia hadharani akitoa povu lake mbele ya wageni waalikwa.

MTAZAME HAPA

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana

Stori zinazo husiana na ulizosoma