The House of Favourite Newspapers

Video: Abdi Banda Mtanzania wa Kwanza ‘Captain’ Sauzi

BEKI Mtanzania, Abdi Banda, anayecheza soka la kulipwa nchini Afrika Kusini katika Klabu ya Baroka na timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) amekuwa mchezaji wa  kwanza kutoka nchini kuwa nahodha wa timu ya soka Afrika Kusini.

Comments are closed.