VIDEO: Aika Akana Kumfumania Nahreel


MSANII wa kundi la Navy Kenzo, Aikah Marealle, amefunguka kwamba hajawahi kumfumania na mwanamke yeyote mshikaji wake na mwanamuziki mwenzake, Nahreel.

Akipiga stori na Global TV, mrembo huyo pia ametaja sababu za kutokufanya nyimbo za peke yake, akisema yeye na Nahreel walikuwa wanataka kusimamisha kundi kwanza halafu nyimbo za peke yake zingefuata.

Akurudia katika mahusiano yao, amesema kuwa uaminifu ndichoo kitu pekee kinachochangia wao kuendelea kuwa pamoja na kuthibitisha kuwa hajawahi kumfumania na mwanamke mwingine.

Pia amesema yeye huwa hapendi mambo ya skendo na analinda heshima yake na ndiyo maana hasikiki kwenye maskendo.

Kwa uhondo zaidi wa mahojiano hayo, fungua video hapa chini.

NAHREEL afungukia NDOA yake na AIKA/ Umiliki wake kwa TIMU ya MPIRA


Loading...

Toa comment