Video: AJALI Mbaya ILIVYOUA MTU SINZA LEO, MASHUHUDA Wasimulia TUKIO Zima..
Mtu mmoja mwanaume amefariki dunia asubuhi ya leo Jumamosi Januari 11, 2019 maeneo ya Sinza Mori baada ya kugongwa na gari ndogo aina ya Raum.
Global TV imefika eneo la tukio na kuzungumza na mashuhuda wa ajali hiyo ambao wamesimulia ajali ilivyotokea.

