Video: Alichokifanya Ommy Dimpoz Na Shabiki Yake Jukwaa La Fiesta
WAPENZI wa burudani usiku wa kuamkia leo wamepata burudani ya aina yake katika Uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza wakati wa Tamasha la Fiesta 2019 lililosheheni mastaa kibao lilitoa burudani ya kufa mtu.
Mastaa waliopanda kwenye jukwaani ni Rich Mavoko, Maua Sama, Lulu Diva, Nandy, Marioo, Lunya, TID, Mr Blue, kundi la WEUSI na wengine wengi.
Comments are closed.