The House of Favourite Newspapers

VIDEO: Alichokisema Hamisa Mobeto Kwenye 40 Ya Mtoto Wa Mbosso!


Msanii na Mwanamitindo Bongo, Hamisa Mobeto, amehudhuria katika 40 ya mtoto wa msanii kutoka WCB Mbosso, ambapo amepata nafasi kupiga story na Global Tv nakusema kuwa Yuko tayari kuongeza mtoto wa Tatu.

Comments are closed.