Video | Ariana Grande – Thank U Next

 

Ariana Grande aliitoa nyimbo hii, ‘Thank You Next‘ baada ya kuachana na Boyfriend wake Peter Davidson.

Wimbo wa Thank you Next umefanikiwa kufanya vizuri baada ya mauzo yake ya wiki ya kwanza kuingia katika chart za nyimbo bora 100 za Billboard na kuitoa nyimbo ya Maroon 5 ‘Girls Like You’ iliyokuwa imekaa kwa muda wa week 6.

Nyimbo hii ipo nafasi ya kwanza katika chart za nyimbo 100 bora za Billboard kwa week ya tatu wakati huu tangu itoke.

 

Video imeongozwa na Hannah Lux Davis.

 

 

Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa ingia Global App na kama huja install, nimekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇

Android ===>GooglePlay

iOS ===>AppStore

Itazame hapa.

 

Toa comment