The House of Favourite Newspapers

Video: Aunty Ezekiel Afunguka – “Wema Siyo Tasa Atapata Mtoto”

Msanii wa Bongo Movie, Aunty Ezekiel.

Msanii wa Bongo Movie, Aunty Ezekiel, ameweka wazi kuwa ujauzito wake wa sasa umemfanya baba wa watoto wake, Kusah, kumuonesha upendo zaidi. Aunty amesema upendo huo umemfanya safari yake ya ujauzito kuwa nyepesi na ya furaha kutokana na mapenzi anayopokea kutoka kwa Kusah.