VIDEO: Babu Tale Kamzungumzia Msanii Mpya WCB Mwanamke!
Meneja wa Mwanamuziki Diamond Platnumz, Babu Tale, amesema Lebo ya WCB inatarajia kumtambulisha msanii wake mpya wa kike hivi karibuni….
Babu Tale amesema msanii huyo yupo tayari na amesharekodi ngoma kadhaa na walitaka kumtambulisha Ijumaa iliyopita lakini upepo haukuwa mzuri hivyo muda wowote kuanzia Sasa Mashariki wakae mkao wa kula…
Babu Tale ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na wanahabari katika uzinduzi wa kampeni ya Tokomeza Zero, ulioandaliwa na Mkuu wa wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo.


Comments are closed.