VIDEO | BANANA ZORRO – SITANII (OFFICIAL VIDEO )

Msanii mkongwe wa Bongo Fleva, ‘Banana Zorro’ anakukaribisha kuitazama video ya nyimbo yake mpya, ‘Sitanii’

 

Video imeongozwa na Manrizo,Audio imefanywa na producer C9 Kanjenje.

 

Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa ingia Global App na kama huja install, nimekuwekea link hapa chini:👇👇👇

Android ===>GooglePlay

iOS ===>AppStore

Itazame hapa.

Toa comment