VIDEO | Bonge Lanyau Ft Khadija Kopa – Nipe Matamu (Official Video)
Msanii wa Bongo Fleva, ‘Bonge La Nyau’ anakukaribisha kuitazama video ya wimbo wake mpya ‘Nipe Mautamu’ akiwa ameshirikiana na mama wa mipasho, ‘Khadija Kopa’.
Video imeongozwa na Khalfani.
Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa ingia Global App na kama huja install, nimekuwekea link hapa chini:👇👇👇
Android ===>GooglePlay
iOS ===>AppStore
Itazame hapa.
Comments are closed.