Video: DC Mpya Rufiji Afungukia Mikakati ya Kazi

MKUU  wa Wilaya ya Rufiji mkoani Pwani, Luteni Kanali Patrick Kenani Sawala, amelezea mikakati na majukumu yake mapya katika kituo chake hicho huku akiwaomba wananchi kumpa ushirikiano.

Fungua video hapa chini kwa maelezo zaidi.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:

⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8

⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Toa comment