The House of Favourite Newspapers

VIDEO: Diamond Azindua Ngoma Mpya na Rommy Mlimani City!

STAA wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, usiku wa kuamkia leo amezindua ngoma yake ya ‘Rotate’ aliyoshirikiana na  Rommy Jons ambayo inapatikana kwenye album ya, RJ the DJ, inayoitwa Listening Changes.

Album hiyo imezinduliwa rasmi usiku wa Julai 30, 2019, katika ukumbi wa Mlimani City  ambapo Diamond alipanda jukwaani na kuizindua rasmi.

Romy Jons ‘RJ the DJ’ ni DJ wa mwanamuziki Diamond  ambaye pia ndiye DJ wa kwanza Bongo kuzindua album yake.

Comments are closed.