VIDEO: DIAMOND Amchezesha WIZKID ‘BABA LAO’ (Picha +Video)

 

Msanii kutoka Nigeria Wizkid akifanya shoo na Diamond Platinumz.

Msanii kutoka Nigeria Ayodeji Ibrahim Balogun alimaarufu Wizkid amefanya shoo ya aina yake na Msanii  Diamond Platinumz katika Tamasha la Wasafi Festival na kuibua shangwe kubwa kwa maelfu ya mashabiki ambao walijitokeza usiku wa kuamkia leo Novemba  10, 2019 katika Viwanja vya Posta Kijitonyama jijini Dar es Salaam.

… Wakiendelea kutoa shoo ya aina yake kwa mashabiki (hawapo pichani).

Diamond Platinumz akiimba wimbo wa Baila kwa aina yake.

…Akiwasikilizia mashabiki wakiimba wimbo wa Baila.

Diamond Platinumz akifanya yake na wacheza shoo wake.

Full Video: SHOO ya DIAMOND PLATNUMZ Wasafi FESTIVAL DSM

 


Loading...

Toa comment