Diamond Atua Marekani Kwaajili Ya Tuzo Za BET -Video

Megastaa wa muziki barani Afrika, Diamond Platnumz tayari ametua jijini Los Angeles, kujumuika na mastaa wenzake kwenye utoaji wa Tuzo za BET hapo kesho.

Diamond ameongozana na mmoja wa mameneja wake, Babutale pamoja na mpigapicha wake, Lukamba.

Tuzo hizo zinatarajiwa kutolewa kesho Jumapili ya Juni 27, 2021 huku Diamond akiiwakilisha Afrika Mashariki na Kati akiwania katika Kipengele cha Best Internation Act ambacho anapambana na mastaa kama

Wizkid na Burna Boy kuwania tuzo za BET katika kipengele cha Best International Act:

Orodha kamili ipo hapa chini.

@Ayanakamura_Officiel (France)
@BurnaBoyGram (Nigeria)
@DiamondPlatnumz (Tanzania)
@Emicida (Brazil)
@Headieone (UK)
@WizKidayo (Nigeria)
@YoungTandBugsey (UK)
@Youssouphamusik (France)

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Global Publishers (@globalpublishers)


Toa comment