VIDEO: DKT SHEIN AFUNGA MAONESHO YA VIWANDA YA SADC

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi la Zanzibar, Dkt Ali Mohamed Shein, leo Agosti 08, anafunga rasmi Maonesho ya wiki ya viwanda ya Jumuiya ya Maendeleo ya nchi za Kusini mwa Afrika (SADC).


Loading...

Toa comment