The House of Favourite Newspapers

VIDEO: Enock Bella wa Yamoto Band Afunguka Kuhusu Kukosa Menejimenti

0

Moja kati ya msanii ambae alikuwa akiunda kundi la Yamoto Band lililokuwa na wasanii wanne Enock Bella, Aslay, Beka na Maromboso kabla halijasambaratika na kila mmoja wao kupata menejimenti mpya.

Lakini kukaibuka taarifa kuwa Enock bado hajapata menejimenti ya kusimamia kazi zake, jambo ambalo limesababisha kutotoa wimbo mpya mpaka sasa lakini amekanusha taarifa hizo na kusema kwamba tayari ameshapata menejimenti lakini hawezi kuiweka wazi kwa sasa mpaka atakapoachia wimbo ambao upo jikoni na muda wowote atauachia.

Leave A Reply