VIDEO: Fanya Malipo ya Serikali Kwa Njia Rahisi Kupitia M-PESA


Haijawahi kuwa rahisi kiasi hiki! Sasa unaweza kufanya malipo ya Serikali kwa njia rahisi, salama na ya haraka zaidi kupitia M-PESA.

Piga *150*00# kisha chagua namba 4 kulipa kwa M-PESA, halafu bonyeza namba 5 kuchagua malipo ya Serikali kisha bonyeza 1 kuingiza namba ya malipo uliyoipata kutoka ofisi ya Serikali inayoanza na 99…

Utakapoingiza namba ya malipo ya Serikali, utaweka kiasi cha malipo ikifuatiwa na namba ya siri. Malipo yako yatakuwa yametumwa kikamilifu.


Loading...

Toa comment