VIDEO: GIGY MONEY ‘ASEPA NA KIJIJI’ DODOMA WASAFI FESTIVAL

USIKU wa kuamkia leo Agosti 8, 2019 msanii wa Bongo Fleva. Gigy Money,  amefanya shoo ya aina yake ambayo ilitoa burudani ya kipekee kwa mashabiki kwenye jukwaa la Wasafi Festival 2019,  jijini Dodoma katika Uwanja wa Jamhuri.


Loading...

Toa comment