The House of Favourite Newspapers

Video: Global Habari Juni 15 – Rais Samia Amtengua Dc Na Ded

0


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan Ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro Wilaya ya baada ya kuonekana video ikionesha wamachinga wakipigwa na mgambo baada yakukataa kufanya biashara katika eneo lililopangwa na manispaa. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave A Reply