The House of Favourite Newspapers
gunners X

Video: Global Habari Mei 23 – Sekretarieti Ya SADAC Yakutana Kwa Dharura..

0

Sekretarieti ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC imeitisha mkutano wa dharura wa utatu wa Jumuiya hiyo wenye lengo la kujadili mapendekezo ya Mkutano wa Kamati ya Mawaziri wa Afya kuhusu hali ya ugonjwa wa COVID – 19.

Leave A Reply