VIDEO HAIJATIBUA PENZI LA la FAHYMA NA RAYVANNY

REAL? Video vixen maarufu Bongo, Fahyma ambaye ni baby mama wa staa wa Bongo Fleva, Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’ amefunguka kuwa video iliyosambaa mitandaoni ikimuonesha akikata mauno wala haijatibua penzi lake na jamaa huyo.  Akizungumza na Gazeti la Ijumaa, Fahyma alisema video hiyo ni haiwezi kutibua uhusiano wake na mzazi mwenzake na kwamba wanaishi vizuri tu.

“Ile video ambayo inasambaa mitandaoni ni ya zamani, haiwezi ikatibua uhusiano na baba wa mtoto wangu,” alisema Fahyma ambaye amezaa na Rayvanny mtoto mmoja wa kiume aitwaye Jaydan.

Stori: Neema Adrian, Dar


Loading...

Toa comment