VIDEO: Harmonize Akiimba Kimakonde, Agawa Zawadi Kama Zote

Msanii kutoka lebo ya WCB, Harmonize jana alikiwasha maeneo ya Mtwara katika sherehe za Idd Mosi kwakushusha bonge moja la burudani katika viwanja vya Nangwanda Sijaona.

 

Kabla ya show yake alipata nafasi ya kuwakabidhi kombe kwa moja ya timu za mpira wa miguu mkoani humo na alipopata nafasi ya kusalimia alianza kwa kuimba kwa kimakonde.

TAZAMA TUKIO ZIMA HAPA

Loading...

Toa comment