Harmonize Amkana Wolper Siku ya Birthday, Alilia Penzi la Sarah – Video

Staa wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper, usiku wa kuamkia leo amesherehekea siku yake ya kuzaliwa katika ukumbi wa Life Club Mwenge ambapo sherehe ilinogeshwa zaidi na uwepo wa aliyekuwa mpenzi wake Harmonize ambaye aliweka wazi mahusiano yake na mrembo huyo kuwa hakuna kitu kingine zaidi ya urafiki.

Harmonize aliongeza kwa kusema  kuwa kwa sasa yupo katika penzi zito na Sarah licha ya mwanamke huyo kuwa na wivu sana kwa Wolper.

Toa comment